Maafisa
wa RITA wakiwa wanatoa huduma kwa wananchi waliojitokeza katika banda
hilo kupata huduma ya vyeti vya kuzaliwa kwenye kampeni ya 1stop huduma Katika eo katika Viwanja vya Zakhem Mbagala wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka, Michuzi Tv)Afisa
usajili RITA,Mariam linga'nde(kulia) akimwelekeza Mwananchi namna ya
kujaza fomu ya cheti cha kuzaliwa leo katika kampeni 1stop huduma
kwenye viwanja vya Zakhem wilaya Temeke jijini Dar es Salaam.Wananchi wakiwa kwenye foleni katika banda la RITA.
No comments:
Post a Comment