HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 2, 2020

MIKUTANO YA KAMPENI ZA MGOMBEA MWENZA WA URAIS WA TIKETI YA CCM, SAMIA SULUHU WILAYA YA MVOMERO MOROGORO NA MOROGORO MJINI

 

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi, Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa CCM Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro alipowasili katika Uwanja wa Kialawa Turiani kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi leo Septemba 02,2020.
Wasanii wa kikundi cha Praygod Masai cha Wilaya ya Mvomero wakitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi katika Uwanja wa Kialawa Turiani leo Septemba 02,2020 ambapo Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,aliwahutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wa nanchi wa Wilaya ya Mvomero katika Uwanja wa Kialawa Turiani Morogoro leo Septemba 02,2020.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,alipokuwa akihutubia kwenye mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi katika Uwanja wa Kialawa Turiani leo Septemba 02,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa CCM Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro kwenye mkutano wa Kampeni kwa Chama cha Mapinduzi katika Uwanja wa Kialawa Turiani Morogoro leo Septemba 02,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini alipowasili katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi leo Septemba 02,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini kwenye mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro leo Septemba 02,2020. 
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Wilaya ya Morogoro Mjini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akihutubia kwenye mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro leo Septemba 02,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad