Miamba ya soka duniani kuzindua msimu wa UEFA Nations League - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 2 September 2020

Miamba ya soka duniani kuzindua msimu wa UEFA Nations League

Ni Ujerumani Uso kwa Uso na Hispania!
Ligi ya Mataifa ya Ulaya - UEFA Nations Ligue inarejea tena mwezi huu. Mchezo wa kwanza kuwakutanisha miamba ya soka duniani.
Ujerumani watawakaribisha Hispania jijini Stuttgart kesho Alhamisi - saa 4 kasoro usiku katika mchezo wa kwanza wa UEFA Nations League. Timu zote zinahitaji kuonesha kiwango bora kuliko msimu uliopita.
Kwa ujumla, Ujerumani na Hispania wamekutana mara 23. Ujerumani ameshinda mara 9 wakati Hispania akishinda mara 7 . Ujerumani ameshinda mara 1 katika mechi 5 za mwisho. Ushindi wao ulikuwa mwaka 2014 katika mchezo wa kirafiki.
Je, nani ataianza michuano hii kwa kishindo msimu huu?
Hispania ambae anaonekana kuwa na kikosi kilichojaa wachezaji vijana, ni kama kocha - Luis Enrique anaandaa kizazi kijacho kwa taifa hilo. 
Upande wa pili, kocha - Joachim Low atakuwa na kibarua cha ziada kurudisha fadhila kwa Wajerumani ambao wamemuamini japokuwa amekuwa na matokeo mabaya kwa miaka miwili mfululizo.
Pia,Odds za mechi hii zinavutia - Meridiabet wanauthamini ushindi wa Ujerumani kwa Odds ya  2.44. Upande wa pili, ushindi kwa Hispania umepatiwa Odds ya 2. 84 wakati matokeo ya sare ni 3.33
Wataalamu wa Meridian wamekuwekea ofa ya machaguo zaidi ya 1,200 ambayo unaweza kuyaangalia hapa.
Kuwa sehemu ya mchezo huu na ubashiri vile unavyopenda! Kwa odds nzuri, ofa kabambe za michezo na mambo kemkem, Meridian inakufanya kuwa mshindi!
Jisajili na meridianbet hapa www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. 
Pia, unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, Tuna Bonasi ya 100%  inakusubiri.
Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!

2 comments:

Post Bottom Ad