Ubashiri na Odds za Ligi ya Europa - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 11, 2020

Ubashiri na Odds za Ligi ya Europa

BAADA ya mapumziko ya miezi mitano Europa League imerudi kwa nguvu kubwa! Na timu 8 zimefanikiwa kuweza kuingia robo fainali.

Mechi mbili zilichezwa juma tatu wakati mbili nyingine zinachezwa usiku wa leo: Wolverhampton - Sevilla, Shakhtar Donetsk - Basel.

Baada ya mechi za zilizopita leo tuna nafasi ya kushuhudia mechi nzuri sana na za kuvutia kati ya mabingwa wa Ukraine Shakhtar na wa Uswiss Basel.
Ikumbukwe Shakhtar kuwatoa Wolfsburg kwa uwiano Goli 5-1 (baada ya mechi ya kwanza kua njema kwa mabingwa wa Ukraine na kushinda 2-1 na mechi ya pili kuisha kwa Goli 3-1) wakati Basel wao waliwatoa Franfurt kwa uwiano wa Goli 4-0 (30-1,1.0) Kiujumla Shakhtar na Basel wamekutana mara tano ikijumuisha na mechi mbili za kirafiki zilizochezwa mwaka 2010 na 2015. Na Shakhtar ameshinda mechi nne kati ya yano walizokutana na Basel amefanikiwa kushinda mechi Moja tu.

Odds za mechi hii zimewapa Shakhtar Point 1.90 wakati ushindi wa Basel umepewa Odds nono sana ya 4.10, Na wale wanao amini mchezo utachezwa muda wa ziada basi Odds yao ni 3.75. Zaidi kuna Zaidi ya Option 1350 za ubashiri ambazo unaweza kuzitambua kwa kugusa link hii  meridianbet. 

Mechi za hatua ya robo fainali ya ligi ya Europa zitamalizika kwa mechi kati ya Wolverhampton dhidi ya Sevilla.

Wolves waliwachapa Olympiacos kwenye mechi yao ya pili ya mzunguko wa mtoano wa timu 16. Inafaa kukumbuka mechi ya kwanza ilimazika kwa sare. Hata hivyo, goli la penati la Jimenez katika dakika ya 9 ya mechi ya pili lilikuwa ndiyo goli pekee kwa mechi znima, ambalo liliwaleta Wolves kifua mbele kwenye hatua ya robo fainali.
Hii ni mara ya pili katika historia ya klabu hii ya Uingereza kucheza robo fainali ya Ligi ya Europa.

Ukizungumzia wazee wa Nyekundu na Nyeupe hapa, Sevilla waliwatoa roma kwa 2-0 kwenye mechi iliyovutia sana katika hatua ya mtoano. Magoli yote yalipatikana kwenye kipindi cha kwanza, na wafungaji walikuwa ni Reguilon na Yusuf En-Nesir. Hii ni mara ya 15 kwa wahispania hawa kushiriki Ligi ya Europa. Sevilla ni moja ya klabu zilizofanikiwa zaidi kwenye ligi ya Europe. Wameshinda taji la Europa mara 5.
Kitu kinachovutia zaidi ni kuwa kila Sevilla alipofikia robo fainali alilifikia taji la Ligi ya Europa.

Hata hivyo, Wolverhampton na Sevilla hawajacheza mechi hata moja, hivyo leo itakuwa ni mechi itakayovutia sana kuamua nani atasonga kwenye hatua ya nusu fainali.

Wakati kila kiti kikiwa kwenye mstari, Sevilla anapigiwa upatu zaidi kushinda. Odds za Sevilla kushinda ni nzuri sana – 2.20, wakati ushindi kwa Wolves unakulipa 3.65. na sare inakupa 3.20.

Kupitia Meridian, kubashiri michezo mtandaoni imerahishwa!
Jisajili kwenye meridianbet.rs na uanze kufurahi! Pakua program ya Meridianbet kwenye simu yako ya mkononi na uanze kubashiri kwa uhuru ukiwa nyumbani kwako.  Pia, unaweza kulipia akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money.   . Kumbuka, huwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza na Meridianbet, Bonasi 100%  inakusubiri hapa.
36 comments:

  1. Kwa mechi ya sevila na wolves wote ni wakali hapo sijui atakae kuwa mbabe nani

    ReplyDelete
  2. Naona gemu zote ni kiwango na wote watafungana ndani ya 90m

    ReplyDelete

Post Bottom Ad