Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akirudisha Fomu ya Kugombea
nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tiketi ya CCM
katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 kwa
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles
Kaijage katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma leo
tarehe 25 Agosti, 2020.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mgombea Mwenza
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakipokea Seti moja ya Fomu ya Uteuzi
8A, Fomu namba 10 pamoja na Picha za Wagombea kutoka kwa Mwenyekiti wa
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage katika
Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 25 Agosti, 2020.
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage
pamoja na Mkurugenzi wa NEC Dkt. Wilson Charles wakihakiki Fomu za
Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa
jijini Dodoma leo tarehe 25 Agosti, 2020.
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage
(aliyesimama) akitangaza kumteua Mgombea wa kiti cha (Urais) Rais Dkt.
John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza, Makamu wa Rais Samia Suluhu
Hassan baada ya kurejesha fomu za uteuzi kwenye ofisi za Tume zilizopo
Njedengwa jijini Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa Fomu zake na kuzihakiki
mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa
jijini Dodoma leo tarehe 25 Agosti, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Mgombea Mwenza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakati akisaini Fomu katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 25 Agosti, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Fomu zake kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi kutoka NEC Dkt. Wilson Charles kwa ajili ya uhakiki katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 25 Agosti, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mgombea Mwenza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 25 Agosti, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Wafanyakazi wa NEC mara baada ya kurejesha Fomu na kuteuliwa kuwa Mgombea kupitia Tiketi ya CCM Njedengwa jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mgombea Mwenza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakiwasili katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC jijini Dodoma kwa ajili ya kurejesha Fomu.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment