HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 5, 2020

RAIS DKT. SHEIN AMEWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA ZRB GOMBANI CHAKECHAKE PEMBA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Jengo linalojengwa katika eneo la Gombani Chakechake Permba na (kushoto kwa Rais) Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Ndg. Joseph Abdalla. Meza (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mshauri Mkuu Elekezi wa Ujenzi wa Jengo la ZRB Gombani Chakechake Pemba Ndg. Oswald Modu, wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi la jengo uliofanyika leo 5/8/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea ujenzi wa Jengo la ZRB Gombani Pemba wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Jengo hilo,(kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya ZRB Ndg. Saleh Sadiq na (kulia kwa Rais) Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar  ZRB. Ndg Joseph Abdalla Meza, wakati akitembelea ujenzi huo baada ya kuweka jiwe la msingi leo 5/8/2020.(Picha na Ikulu)
MUONEKANO wa Jengo  la ZRB Gombani Pemba lililowekwa jiwe la Msingi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein(yayupo pichani) hafla hiyo imefanyika leo 5/8/2020.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad