







KATIBU Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Bi. Maryam Juma Sadala (Mabodi) akitowa maelezo ya Kitaalam wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Manenane yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba leo 6/8/2020.(Picha na Ikulu)

WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) maonesho hayo yanafanyika katika Viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba leo 6/8/2020.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika Viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba leo 6/8/2020.(Picha na Ikulu)

WANANCHI wa Mikoa Miwili ya Pemba wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) akihutubia na kuyafungua maonesho hay oleo 6/8/2020.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment