Nani atabeba Kombe la Ligi ya Europa msimu huu, Ni Inter Millan au Sevilla - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 21, 2020

Nani atabeba Kombe la Ligi ya Europa msimu huu, Ni Inter Millan au Sevilla

LIGI ya pili kwa ukubwa Mashindano ya Ulaya imefikia hatua ya fainali. Kwa uhuru tunawezakusema Ligi ya Europa msimu huu imekuwa ya kuvutia zaidi na mtanange wa fainali unathibitisha hilo.

Wakati ambapo Inter Millan walithibitisha nafasi yao ya kustahili kucheza fainali kwa kuwaburuza Shakhtar Donetsk, Sevilla walionesha uwezo wao wa kupindua matokeo katika mchezo wao dhidi ya Manchester United. Kwa matokeo ya Inter Millan na Sevilla katika michezo ya nusu fainali, sasa fainali itakuwa ni vita kati ya Muitaliano na Muhispania, hatari!

Kiuhalisia ni kwamba, Inter Millan na Sevilla hawajawahi kukutana katika Michuano ya UEFA. Mchezo wa mwisho kuwakutanisha miamba hii ulichezwa mwaka 2008 katika Mashindano ya Amsterdam, mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bila magoli.

Sevilla is currently in excellent form. He has four wins and one draw in the last five matches. Moreover, the red and whites are absolutely undefeated in the last 20 matches played in all competitions!

Sevilla wapo katika wakati mzuri kwa sasa. Katika mechi 5 za mwisho, ameshinda 4 na kutoa sare 1. Hawajapoteza katika michezo 20 waliyocheza kwenye mashindano yote msimu huu.

Vijana wa Conte - Inter Millan wameshinda mechi zote 5 za mwisho! Ushindi dhidi ya Shakhtar, ni ushindi wa 11 mfululizo na kuwafanya 'Nezzarrui' kumaliza msimu bila kufungwa. Tunakukumbusha, Inter wamemaliza katika nafasi ya 2 kwenye msimamo wa Serie A wakiachwa kwa pointi 1 na mabingwa - Juventus.

Sevilla sio timu ya kuibeza kwenye Michuano ya Ligi ya Europa. Wanashikilia rekodi ya kuwa timu yenye mafanikio zaidi kwenye Ligi ya Europa wakiwa na makombe 5. Umwamba wao katika michuano hii, unawapa kila sababu ya kujiamini kuelekea mchezo wa fainali dhidi ya Inter Millan.

Hii ni mara ya 15 kwa Sevilla kushiriki Ligi ya Europa na itakuwa ni fainali ya 6. Kwa maneno mengine ni kwamba, Sevilla hajawahi kupoteza mchezo wowote wa fainali kwenye mashindano haya!

Japokuwa Sevilla wanashikilia rekodi ya kubeba kombe hili, Inter wana nafasi finyu ya ushindi na mwonekano huo unaonekana kwenye odds. Ushindi wa Inter Millan umethaminiwa kwa odds ya 2.25, ushindi kwa Sevilla umethaminiwa kwa odds ya 3.55 wakati matokeo ya sare yana odds ya 3.20.
Wataalamu wa Meridian wamekuwekea ofa ya machaguo zaidi ya 1,200 ambayo unawezakuyaangalia hapa.
Kuwa sehemu ya mchezo huu na ubashiri vile unavyopenda! Kwa odds nzuri, ofa kabambe za michezo na mambo kemkem, Meridian inakusaidia kuwa mshindi!
Jisajili na Meridiabet hapa http://www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanzekubashiri kwa uruhu nyumbani kwako. Pia unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.
Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!

9 comments:

Post Bottom Ad