Msimu Mpya wa EPL kufunguliwa na Mchezo wa Ngao ya Jamii. - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, 29 August 2020

Msimu Mpya wa EPL kufunguliwa na Mchezo wa Ngao ya Jamii.

NI Liverpool dhidi ya Arsenal. Nani atabeba kombe la kwanza msimu huu?
Baada ya msimu wa 2019/20 kumalizika na kila timu kujitutumua kadiri walivyoweza. Sasa tunasahau yaliyopita na tunaanza Msimu Mpya wa EPL – 2020/21. Kama ilivyodesturi ya Ligi Kuu Uingereza – EPL, msimu mpya unafunguliwa kwa Mchezo wa Ngao ya Jamii ambapo unawakutanisha Mabingwa wa EPL dhidi ya Mshindi wa FA wa msimu uliopita (2019/20).
Liverpool ambao walikuwa na msimu mzuri 2019/20 kwa kutwaa Ubingwa wa EPL baada ya miaka 30, sasa wanaunza rasmi msimu wa 2020/2021 kwa Mchezo wa Ngao ya Hisani dhidi ya Arsenal ambao licha ya kuwa na msimu wenye ‘makandokando’ mengi, walijitahidi kwenye Mashindano ya FA na kufanikiwa kunyanyua kombe hilo baada ya kuwagaragaza Chelsea kwenye Fainali ya FA. 
Mchezo wa Ngao ya Jamii utachezwa siku ya Jumamosi tarehe 29 Agosti, 2020 katika dimba la Wembley saa 12:30 jioni ambapo Liverpool ataumana na Arsenal.
Hii ni mara ya pili mfululizo kwa Liverpool kushiriki kwenye Mchezo wa Ngao ya Jamii, msimu uliopita walikutana na Manchester City na wakapoteza kwa mikwaju ya penati. Kwa Arsenal, mchezo huu utakuwa ni wa kwanza tangu msimu wa mwaka 2017/2018.
Arsenal na Liverpool wamekutana mara 195. Liverpool ameibuka kidedea mara 72 wakati Arsenal ameshinda mara 69 na wametoa sare mara 54. 
Mchezo wa Ngao ya Hisani umewakutanisha Arsenal na Liverpool mara 3 pekee. Liverpool ameshinda mara mbili (mwaka 1979 na 1989) wakati Arsenal ameshinda mara 1 – mwaka 2002.
Kwa upande wa odds, wataalamu wa Meridian wamempatia faida Liverpool. Ushindi kwa Liverpool unathaminiwa kwa odds ya 1.67, ushindi wa Arsenal umepatiwa odds ya 4.80 wakati matokeo ya sare ni 3.92. 
Wataalamu wa Meridian wamekuwekea ofa ya machaguo zaidi ya 1,200 ambayo unawezakuyaangalia hapa.
Kuwa sehemu ya mchezo huu na ubashiri vile unavyopenda! Kwa odds nzuri, ofa kabambe za michezo na mambo kemkem, Meridian inakusaidia kuwa mshindi! 
Jisajili na meridianbet hapa www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. Pia unaweza kuwekapesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.
Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa! zaidi. 19 comments:

 1. Arsenal leo wajiandae kwa maumivu tuu

  ReplyDelete
 2. Lolote linawezekana mpr dk 90 Liverpool Wana nafas kubwa kutwaa Taj hlo

  ReplyDelete
 3. Mambo mazuri Leo hayo mtanange wakufa mtu hapo

  ReplyDelete
 4. Tunataka kuona maajab ya arteta kumzid akili klopp

  ReplyDelete
 5. Dakika 45 za kwanza itakuwa ni Liverpool.

  ReplyDelete
 6. All teams are the kings , more than all,90 minutes correspondings all things.

  ReplyDelete
 7. Asante arsenal mana mmefanya Yale tuliyo yataka mashabiki wenu

  ReplyDelete

Post Bottom Ad