Mkuu wa Takwimu za Bei kutoka Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Abdul-rahman Msham akitoa takwimu za Mfumuko wa Bei ambapo umeonekana kupanda kwa asilimia 3.6 kutoka asilimia 3.4 June 2020 hafla iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa serikali Zanzibar.
Baadhi ya viongozi na Wageni Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya utoaji wa Takwimu za Mfumuko wa Bei ambapo umeonekana kupanda kwa asilimia 3.6 kutoka asilimia 3.4 June 2020 hafla iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa serikali Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment