MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU MAKATIBU WAKUU WATEMBELEA UJENZI WA IKULU CHAMWINO, DODOMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, 22 August 2020

MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU MAKATIBU WAKUU WATEMBELEA UJENZI WA IKULU CHAMWINO, DODOMA

 

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwaongoza Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu wakuu wa wizara zote za serikali kuweka udongo kwenye jiwe la msingi la ujenzi wa Ikulu Chamwino, Dodoma, alipowaalika kutembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa ofisi hizo za Rais leo Ijumaa Agosti 21, 2020.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwa na Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu wakuu wa wizara zote za serikali wakipata maelezo walipotembelea kujionea maendeleo ya ujenzi wa ofisi hizo za Rais leo Ijumaa Agosti 21, 2020.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwatembeza Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu wakuu wa wizara zote za serikali alipowaalika kutembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Ikulu Chamwino, Dodoma leo Ijumaa Agosti 21, 2020.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akitoa maelekezo na nasaha kwa mkandarasi wa Jengo la Ofisi za Ikulu Chamwino mkoani Dodoma baada ya ziara ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu wakuu wa wizara zote za serikali walipotembelea kujionea maendeleo ya ujenzi wa ofisi hizo za Rais leo Ijumaa Agosti 21, 2020.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa SUMA JKT, Brigedia Jenerali Rajabuy Mabele, ambao ni wakandarasi wa Jengo la Ofisi za Ikulu Chamwino mkoani Dodoma wakati wa ziara ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu wakuu wa wizara zote za serikali walipotembelea kujionea maendeleo ya ujenzi wa ofisi hizo za Rais leo Ijumaa Agosti 21, 2020.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi afurahia kambo na baadhi ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu wakuu alipowaalika kutembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Ikulu Chamwino, Dodoma leo Ijumaa Agosti 21, 2020. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad