KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Magereza, Suleiman Mzee akicheza mchezo wa
'Draft' na Mfungwa wa Gereza Mbarali, Mkoani Mbeya. Wafungwa hushiriki
burudani mbalimbali gerezani ikiwa ni sehemu mojawapo ya programu za
Urekebishaji magerezani. #UREKEBISHAJI.
Kamishna
Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akikagua shamba la zao la korosho
katika eneo la Gereza Mbarali Mkoani Mbeya alipofanya ziara ya kikazi
leo Agosti 6,2020.
No comments:
Post a Comment