KAMISHNA CP LIBERATUS SABAS AMEWASILI MKOANI SONGWE KUFUATIA MAUAJI YA MTU MMOJA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, 27 August 2020

KAMISHNA CP LIBERATUS SABAS AMEWASILI MKOANI SONGWE KUFUATIA MAUAJI YA MTU MMOJA

 

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP Liberatus Sabas akipokelewa na Maafisa wa Jeshi la PolIsi Mkoani Songwe baada ya kuwasili jana jioni kufuatia mauaji ya mmasai mmoja alieuliwa na wafuasi wa Chadema juzi katika Ofisi ya Mtendaji Kata ya Mwaka Kati iliyopo Halmashauri ya Mji wa Tunduma.
 Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP Liberatus Sabas, akiongea na Waandishi wa Habari njee ya Kituo cha Polisi Tunduma kabla ya kwenda kukagua eneo yalipotokea mauaji ya mtu mmoja katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma kwenye Ofisi ya Mtendaji Kata ya Mwaka Kati.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP Liberatus Sabas wa kwanza kulia akiwa na Kamanda wa Mkoa wa Songwe RPC George Kiando pamoja na Maafisa wengine wamewasili katika Ofisi ya Mtendaji Kata ya Mwaka Kati kwaajili ya ukaguzi na kuona eneo ambalo wafuasi wa Chadema waliposaabisha mauaji ya mtu huyo.
 (Picha na Jeshi la Polisi)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad