WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA MSIMU WA UNUNUZI WA PAMBA MKOANI KATAVI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, 4 July 2020

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA MSIMU WA UNUNUZI WA PAMBA MKOANI KATAVI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama pamba yenye kiwango cha daraja la kwanza iliyokuwa ikipimwa wakati alipozindua ununuzi wa zao hilo mkoani Katavi kwa msimu wa 2020/2021 kwenye Chama cha Msingi cha Ushirika cha Kasekese wilayani Tanganyika, Julai 4, 2020, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama pamba wakati alipokagua ghala baada ya kuzindua ununuzi wa zao hilo mkoani Katavi kwa msimu wa 2020/2021 kwenye Chama cha Msingi cha Ushirika cha Kasekese wilayani Tanganyika, Julai 4, 2020. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Juma Homela na Wa tatu kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya pamba, Marco, Tunga.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kuzindua ununuzi wa pamba Mkoani Katavi kwa msimu wa 2020/2021 kwenye Chama cha Msingi cha Ushirika cha Kasekese wilayani Tanganyika, Julai 4, 2020

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad