HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 15, 2020

WAZIRI MKUU ACHUKUA FOMU NA KURUDISHA ZA KUWANIA TENA UBUNGE WA RUANGWA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Mkewe Mary Majaliwa
wakikaribishwa na Katibu wa CCM wa Wilaya  ya Ruangwa, Barnabas Essau
(kulia) wakati walipowasili kwenye Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo
kuchukua fomu za kuwania tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, Julai 15,
2020. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha fomu za kuwania tena
Ubunge wa Jimbo la Ruangwa baada ya kuzichukua, kuzijaza na
kuzirejesha, Julai 15, 2020. Kushoto ni Mkewe Mary Majaliwa.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akirejesha fomu za kugombea
tena ubunge wa Jimbo la Ruangwa kwenye ofisi ya CCM ya wilaya ya
Ruangwa baada ya kuzichukua na kuzijaza,kushoto ni Mkewe Mary
Majaliwa, Julai 15, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu baada ya kurejesha fomu za kuwania tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, Julai 15, 2020. Kulia ni Katibu wa CCM wa wilaya ya Ruangwa, Barnabas Essau. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad