HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 28, 2020

RAIS MAGUFULI AWASILI MTWARA,TAYARI KUELEKEA LUPASO KUONGOZA MAZISHI YA HAYATI BENJAMIN MKAPA HAPO KESHO.



Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa ndege wa Mtwara mkoani Mtwara hivi punde kwa ajili ya kushiriki Mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu,Hayati Benjamin William Mkapa ambayo yatafanyika hapo kesho kijijini kwao Lupaso Masasi mkoani Mtwara.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad