NEEMA KWA WATEJA WA M-BET NA STAR TIMES TANZANIA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 15, 2020

NEEMA KWA WATEJA WA M-BET NA STAR TIMES TANZANIA

 Meneja masoko kutoka M-bet  Allen Mushi akitoa zawadi mbalimbali kama Smart Tv na ving'amuzi jijini Dar es Salaam leo.

Meneja masoko kutoka M-bet  Allen Mushi akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kukabidhi zawadi kwa wateja wao.

Na Al Hassan Muhidin, Michuzi Tv.
M-Bet kwa kushirikiana na Kampuni ya kutoa huduma ya matangazo ya runinga ya StarTimes nchini Tanzania, leo imezindua promosheni ya kutoa  zawadi  za Smart Tv, vingamuzi na vifurushi mbali mbali kwa wateja watakao bashiri na M-bet promosheni hio itajulikana kama Cheza na M-bet , shinda na Star times.

Akizungumza na waandishi habari jijini Dar es Salaam baada ya hafla ya uzinduzi huo Meneja masoko kutoka M-bet  Allen Mushi, amesema kuwa shindano hilo linalenga kuwa zawadia wateja wote wa M-bet  Tanzania watakao jisajili na kubashiri kwa M-bet.

M-Bet inaendelea kutoa washindi mbali mbali katika michezo ya kubashiri kwa mtandao.

Kwa upande wa Star Times, Meneja Masoko, David Malisa amesemaKampuni hiyo ya StarTimes ni moja wapo ya makampuni makubwa zaidi ya kutoa huduma ya matangazo ya runinga nchini Tanzania, hususani katika ungwe ya michezo kwa kuonesha ligi mbali mbali kama La Liga na Bundesliga.. Ushirikiano na M-bet ni endelevu katika kutoa burudani kwa watanzania wote.

Shindano hilo litakuwa likitoa zawadi hizi kila wiki, mteja anachohitajika kufanya ni kusijali na kucheza na M-bet kwa tovuti ya M-bet.co.tz

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad