Nani atasalia katika Ligi Kuu Uingereza? - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 25, 2020

Nani atasalia katika Ligi Kuu Uingereza?

MZIKI umeendelea kuwa mnene wa nani atasalia katika Ligi Kuu ya Uingereza na nani atacheza katika michuano ya Europa League.

Mchuano wa mpira wa kweli unatusubiri katika mzunguko wa mwisho wa EPL. Japo Mabingwa wamekwisha julikana muda mrefu, bashasha na furaha vitafika kilele siku ya Jumapili, kwasababu michuano mitatu itapambaniwa kwa wakati mmoja – moja ni kucheza Ligi ya Mabingwa, nyingine kucheza Ligi ya Europa na tatu ni kupambana kuweza kusalia kwenye EPL kwa msimu ujao.
Kwaajili hii wataalamu wa Meridianbet wamekuandalia ofa na machaguo kibao ya kubashiri zaidi ya machaguo 8,000, ukijumuisha na bonasi kabambe katika michezo hiyo. Tumekuandalia mazingira mazuri ya kuweka pamoja bashiri zako katika tiketi zako za ushindi.
Na msimamo wa ligi unasemaje –wakati gani wa kubashiri na nani umpe nafasi?
Aston Villa waliwachapa Arsenal (1: 0) wakiwa nyumbani katika mechi ya mwisho na sasa wapo juu kidogo ya mstari mwekundu kusalia kwenye ligi. Aston Villa na Watford wote wana pointi 34, lakini sheria za EPL zinawabeba Villa kutokana na tofauti ya magoli. 

Saa 12 Jioni, Aston Villa atamkaribisha West Ham, wakati Watford dhidi ya Arsenal, ambao wapo kwenye nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi, na mechi hii haichukuliwi kwa uzito mkubwa na "washika mtutu". Unaweza kuona mechi zote HAPA  
Mzunguko huu wa mwisho pia utatoa majibu ipi itakuwa timu ya pili kuiwakilisha Uingereza kwenye Ligi ya Europa msimu ujao –kati ya Wolves au Tottenham. Wolves watakuwa ugenini dhidi ya Chelsea, wakati Tottenham wao wakiwa London dhidi ya Crystal Palace. 
Mbio za kuinasa nafasi kushiriki Ligi ya Mabingwa pia zinaweza kuwa ngumu zaidi kwa gemu mbili muhimu zinazobeba maamuzi, gemu ya Chelsea vs Wolves, na hii ya Leicester dhidi ya Manchester United. Hakuna timu kati ya hizi inayotaka kupoteza. 
Kama tunavyoona, ofa ya michezo ya wiki inafurahisha zaidi na Inaweza kukushangaza zaidi.   

Katika burudani hii ya soka, wataalamu wa Meridian wamekuletea ishu poa hapa! Kama tayari umeshajisajili na Meridianbet fanya muamala wowote wa zaidi ya TSH 5000 na tunakupatia 5% ya bonasi ya kila muamala.

19 comments:

  1. Aston Villa na Watford wote wanakibarua kigumu kusalia kwenye ligi kuu

    ReplyDelete

Post Bottom Ad