Mwisho wa msimu umekaribia hakuna cha kukosa - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 8, 2020

Mwisho wa msimu umekaribia hakuna cha kukosa

USIKU wa kandanda safi umekaribia mbele yetu ambako pazia litafunguliwa kwa ligi chache, jioni hii inaweza kuwa ya kuvutia kwani timu nyingi zinataka kusalia kwenye nafasi walizopo kwenye ligi zao tukielekea mwishoni mwa misimu. Kuna mechi nyingi tunazoenda kuziona kutoka Serie A, Ligi ya pili ya Hispania na Ligi ya pili ya Uingereza.

Mechi ya kufa na kupona itaenda kupigwa mishale ya saa 5 usiku,pale ambapo Barcelona watawakaribisha Espanyol, Barcelona wana kibarua kizito cha kufanya endapo kama wanataka kufufua matumaini ya kutwaa taji. Barcelona ipo nyuma ya Real Madrid ambayo inaongoza kwa pointi 77, pointi 4 muhimu mbele ya Barcelona. Hata hivyo, pamoja ushindi walioupata dhidi ya Villarreal (4: 1), "Blaugrana ' ameweka wazi kuwa hawawezi kukubali " Klabu ya kifalme " kuwa Mabingwa wa La liga kwa urahisi. Muendelezo wa ushindi kutoka kwa Espanyol sio swali la kujiuliza, unaweza kuona machaguzi ya kubetia kwa mechi hii na kwa mzunguko wa raundi ya 35 kwa Ligi ya Primera.

Mechi sita za nguvu kutoka ligi ya Seria A zitaenda kuminyana jioni hii, na macho ya watuwengi yatakuwa kwenye mechi kati ya Atalanta na Sampdoria, mvua ya magoli inataziwa kutokea na kwa kiasi kikubwa Atalanta anapewa nafasi zaidi ambao wameonaka kuwa na kikosi bora. Machaguo kwa ajili ya ubashiri wa mechi hii unaweza kupata hapa.

Mashindano ya Championship yanaonekana kupuuzwa lakini bado yanavutia. Mapambano ya kuwania nafasi ya kucheza Ligi kuu ya Uingereza bado ni makali. Brentford alama (72) na Fulham alama (70) kimuonekano wana nafasi kubwa sana ya kuchezesha meza ya ushindi. Leeds mwenye point (78) akifuatiwa na West Bromwich (77) wana pointi 6 na 5 mbele ya Brentford, mechi kati ya timu hizi zitafanya mwisho wa msimu huu kuwa wa kufurahisha sana. Kwa ajili ya ratiba za Ligi daraja la pili bora zaidi kwa Uingereza bonyeza hapo.

Tukienda Ugiriki tayari wameshampata bingwa kwa ligi hiyo, japokuwa bado kuna mechi za ligi daraja la pili ambazo zinaenda kuminyana. Ni mtanange baina ya AEK na PAOK, ambazo zipo nyuma ya pointi mbili tuu kutokwa kwa bingwa wa Ligi hiyo ya Ulaya. Mechi ya leo kati ya timu hizi itakuwa ya umuhimu mkubwa kwa timu zote mbili. Timu kutoka Thesaloniki itawakaribisha Panathinaikos, wakati OFI watasafiri kuwafata Athens.

Jisajili na dai bonasi yako HAPA

20 comments:

 1. Janvi la maana tayali nimeshalikoki sina muda wa kusubili

  ReplyDelete
 2. Barca wakijitahidi watatwaa ubingwa lazima

  ReplyDelete
 3. Timu zote zinapigana ipasavyo kutoka kidedea hawa wachezaji wanajitahidi sana .

  ReplyDelete
 4. Barca anakibarua Sana Cha kumkimbiza Madrid

  ReplyDelete

Post Bottom Ad