Mbio za Kupanda Ligi Kuu zimepamba Moto - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 22, 2020

Mbio za Kupanda Ligi Kuu zimepamba Moto

IJUMAA iliyopita Leeds United walitwaa Ubingwa wa EFL Championship, kutwaa ubingwa huo umewahakikishia nafasi ya kushiriki Premier league msimu ujao, baada ya kutumikia miaka 16 katika Ligi Madaraja ya chini. Japo, sio kila kitu kimemalizwa kuhusiana na kupanda Ligi Kuu, Jumatano hii, mashabiki wa kubashiri watakuwa na sherehe kubwa kwaajili ya Michuano ya pili kwa ukubwa Uingereza kupambania nafasi ya kushiriki Premier League.

Mpambano wa kupanda Ligi Kuu bado unaendelea – vilabu vitatu vina matumaini ya kupanda kutokana na nafasi na alama zao katika msimamo - West Bromwich (82), Brentford (81) na Fulham (80). 

Mahesabu yako sawa - West Bromwich wapo tayari kwa mechi inayofuata dhidi ya QPR, ushindi utawapatia nafasi ya kucheza Premier League msimu ujao.

Katika hatua nyingine Brentford na Fulham hawawezi kukubali kupoteza ili kuendelea kuweka matumaini ya kucheza Premier league hai. Fulham wapo katika nafasi mbaya kwani anategemea kufungwa kwa West Bromwich  na Brentford. 

Ni mzunguko unaovutia zaidi kwenye Championship, na kituo chako pendwa cha ubashiri Meridianbet wamekuandalia ofa bomba na kama ulivyo utamaduni wetu wa odds nzuri. Mahususi kwaajili ya mzunguko huu, kuna zaidi ya machaguo 9,500 ya ubashiri na odds yanakusubiri! Italian Serie A bado bingwa hajapatikana na wanaelekea kwenye mzunguko wa 35.

Hakuna wakati mzuri kama kujisajili na MeridianBet na kupata faida ya kujisajili, kama umefungua akaunti mpya kwetu utapata 50 FREE SPINS kutumika kwenye Meridianbet Casino na kwa aliyejisajili mpenda michezo atapata bonasi 100% ya mkeka wa kwanza aliopoteza, kama utatumia kati ya1000-12500 Tsh kwenye tiketi ya kwanza.

24 comments:

 1. iko vzur sana na leo mwisho wa championship nan anabak na nani anaenda

  ReplyDelete
 2. Hii ipo poa sana kila timu inatakiwa kupambana ili kushinda

  ReplyDelete
 3. Tukutane epl miamba ya championship

  ReplyDelete
 4. Kumenoga si mchezo kila mtu anataka kupanda daraja

  ReplyDelete
 5. Haina kuremba ni kukamua tu mechi za lala salama.

  ReplyDelete
 6. Apo ukisikia mtu kawa tajiri ndo Sasa meridianbettz

  ReplyDelete
 7. Leeds amepambana vya kutosha adi kujiwekea nafasi ya kucheza ligi kuu, wanastahili pongezi

  ReplyDelete

Post Bottom Ad