MAPOKEZI YA DK.HUSSEIN ALI MWINYI MGOMBEA URAIS CCM ZANZIBAR - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 15, 2020

MAPOKEZI YA DK.HUSSEIN ALI MWINYI MGOMBEA URAIS CCM ZANZIBAR


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipomtambulisha Mgombea Urais   Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika mkutano wa kumtambulisha  uliofanyika leo viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta  na  Mgombea Urais wa Zanzibar  Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika mkutano wa kumtambulisha  uliofanyika leo viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad