MAKAMU WA RAIS AHANI MSIBA WA BALOZI JOB LUSINDE - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 9, 2020

MAKAMU WA RAIS AHANI MSIBA WA BALOZI JOB LUSINDEMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimfariji Mjane wa marehemu Mzee Job Lusinde Bibi Sarah J. Lusinde alipofika nyumbani kwa marehemu Uzunguni Jijini Dodoma leo Julai 09,2020 kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu mzee Job Lusinde.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo ya kifo cha Marehemu Balozi  Job Lusinde nyumbani kwa marehemu Uzunguni  Jijini Dodoma leo Julai 09,2020 alipofika kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu mzee Job Lusinde. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad