HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 18, 2020

Mafunzo Elimu kwa Umma Juu ya Sheria Gharama za Uchaguzi

Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe. Jaji Francis Mutungi akisisitiza jambo wakati wa siku ya pili ya mafunzo kuhusu elimu kwa umma juu ya sheria ya vyama vya siasa na sheria ya gharama za uchaguzi kwa watumishi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa(ORPP) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika ikiwa ni maandalizi ya ushiriki wa wafanyakazi wa ORPP katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Mchumi Mwandamizi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP), Bw. Emmanuel Msengi akiwasilisha mada kuhusu sharia ya gharama za uchaguzi wakati wa siku ya pili ya mafunzo kuhusu elimu kwa umma juu ya sheria ya vyama vya siasa na sheria ya gharama za uchaguzi kwa watumishi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa(ORPP) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika ikiwa ni maandalizi ya ushiriki wa wafanyakazi wa ORPP katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Muhasibu toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP), CPA. Edmund Mugasha akiwasilisha mada kuhusu sheria ya gharama za uchaguzi wakati wa siku ya pili ya mafunzo kuhusu elimu kwa umma juu ya sheria ya vyama vya siasa na sheria ya gharama za uchaguzi kwa watumishi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa(ORPP) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika ikiwa ni maandalizi ya ushiriki wa wafanyakazi wa ORPP katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Mkaguzi wa Ndani toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP), Bw. Musa Boma akiwasilisha mada kuhusu utaratibu wa uwasilishaji wa malalamiko kutokana na sheria ya gharama za uchaguzi wakati wa siku ya pili ya mafunzo kuhusu elimu kwa umma juu ya sheria ya vyama vya siasa na sheria ya gharama za uchaguzi kwa watumishi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa(ORPP) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika ikiwa ni maandalizi ya ushiriki wa wafanyakazi wa ORPP katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Afisa Tehama Mkuu toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP), Bw. Chady Zawoya akiwasilisha mada kuhusu adhabu chini ya sheria ya gharama za uchaguzi wakati wa siku ya pili ya mafunzo kuhusu elimu kwa umma juu ya sheria ya vyama vya siasa na sheria ya gharama za uchaguzi kwa watumishi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa(ORPP) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika ikiwa ni maandalizi ya ushiriki wa wafanyakazi wa ORPP katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

 Kaimu Mkuu wa Idara ya Uchaguzi na Luzuku toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa,(Ag.ARPP –E&G), Bi. Hollo Kazi. Akifafanua jambo wakati wa siku ya pili ya mafunzo kuhusu elimu kwa umma juu ya sheria ya vyama vya siasa na sheria ya gharama za uchaguzi kwa watumishi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa(ORPP) jana jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Usajili wa Vyama vya Siasa, Muhidin Mapeyo na Muhasibu Mkuu CPA. Edmund Mugasha.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo kuhusu elimu kwa umma juu ya sheria ya vyama vya siasa na sheria ya gharama za uchaguzi kwa watumishi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa(ORPP) wakifuatilia mada zilizokuwa zinawasilisha kuhusu sharia ya gharama za uchaguzi jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika ikiwa ni maandalizi ya ushiriki wa wafanyakazi wa ORPP katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. (Picha na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa – ORPP)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad