BASHE ACHUKUA FOMU YA UBUNGE KUTETEA KITI CHAKE CHA UBUNGE NZEGA MJINI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 15, 2020

BASHE ACHUKUA FOMU YA UBUNGE KUTETEA KITI CHAKE CHA UBUNGE NZEGA MJINI


Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Nzega mjini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kilimo,Mhe.Hussein Bashe akichukua fomu ya kutetea kiti chake cha Ubunge kwa awamu nyingine tena ya miaka mitano kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad