Baada ya Kuweka Taji la 9 la Serie A Kibindoni! - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 28, 2020

Baada ya Kuweka Taji la 9 la Serie A Kibindoni!

STORI ni kama zimeisha sasa –kimahesabu Juventus wameshachukua taji lao la 9 la Serie A baada ya kushinda mechi iliyopita na kuwafanya waendelee kuwa wafalme wa Serie A. Taji jingine lianathibitisha kuwa ni hamasa tosha kwa “Kibibi Kizee” cha Italia wakiwa wanatarajia kurejea tena kwenye Ligi ya Mabingwa, na sasa kila mti anatarajia hatimaye watalichukua taji hili wanalolisaka kwa miaka sasa.


Bado wanahitaji kumalizia raundi 2 zaidi za mechi zilizosalia kumaliza Ligi, na hakuna cha zaidi kwenye mechi za mwisho zaidi ya kukamilisha ratiba, licha ya kuwa bingwa tayari anafahamika.

Katika raundi mbili za mwisho, tutaona vita kubwa ya “Kiatu cha Dhahabu”. Hapa tunawazungumzia washindani Cristiano Ronaldo na Ciro Imobile, na inaonekana hapa Muitalia ndiyo anapiga hatua kubwa kutwaa tuzo ya pili kubwa zaidi kwa mchezaji binafsi. 

 Staa huyu mzoefu, alishiriki katika kuutafuta ushindi dhidi ya Lazio (5: 1) kwa kuchapa hat-trick wakiwa wanaelekea Verona, ikimuongezea magoli yake kufikia 34, ikimfanya awe nafasi ya kwanza, akiwa na Robert Lewandowski kutoka Bayern ambaye amejiweka katika nafasi nzuri ya kuibuka kidedea.

Hata hivyo CR7, kawaida huwa ni wa moto sana na hatakiwei kuchukuliwa poa kwenye mbio za Kiatu cha Dhahabu, lakini kwa mambo yalivyo, Cristiano Ronaldo ana dakika 180 tu za kushinda magoli angalau 3 ambayo ni pungufu, hapa bila Ciro Imobile kupata goli lolote. Sio kazi rahisi.

Kwa hali ilivyo mezani, tayari nafasi za kushiriki Ligi ya Mabingwa ina wenyewe, tutakuwa tunawatazama Juventus, pamoja na Inter, Atalanta na Lazio. Nafasi za kushiriki Europa, bado zinasubiri maamuzi ya mechi, Roma tayari akiwa na tiketi yake atawasubiri Milan na Napoli wanaopambania nafasi ya 6, kuwafanya wafuzu. 

 Inaonekana kila kitu kiko wazi kwa vinara wa ligi, lakini tunaweza kushangazwa na wale wanaopambania kuendelea kuwepo kwenye ligi, ikiwa ni kupambana kusalia. Baada ya kichapo cha 3-2 dhidi ya Bologna, kwenye mechi iliyopita, Lecce wako nyuma kwa pointi 4 dhidi ya Genoa (32-36) na Serie B ni kama imekufa hivi, labda tusubiri kwa raundi mbili tuone hali itakuwaje.


Ofa kamili ya soka la raundi ya 37 ya Serie A, unaweza kutazama kupitia HAPA 

Kwa ajili ya ushindi na burudani yako ya ziada kwenye ubashiri, Meridianbet inakupa zaidi ya machaguo 6,000 ya kubashiri. Na kama ukijisajili na Meridianbet, Bonasi ya 100% inakusubiri!

Ukiwa na Meridianbet –wkati wote wewe ni mshindi! 

18 comments:

 1. Macho yote kwa CR7 Kama anaweza kumpindua Immobile

  ReplyDelete
 2. Christian Ronaldo anastahili kupata tuzo ya kiatu cha dhahabu

  ReplyDelete
 3. Naona Cagliari ikipata goli Juventus ikitoka kidedea.

  ReplyDelete
 4. Hakuna kama meridianbet unangoja nn kujiunga nao mpendwa.

  ReplyDelete

Post Bottom Ad