Pazia la Bundesliga linafungwa rasmi-Aufiderzen, bonasi kubwa! - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 26 June 2020

Pazia la Bundesliga linafungwa rasmi-Aufiderzen, bonasi kubwa!


Bundesliga maalum ikiwa na machaguo zaidi ya 7000.

WIKIENDI  hii pazia la msimu wa 56 wa German Bundesliga linahitimishwa leo. Mechi 9 zitachezeka kukamilisha mzunguko wa 34 kwenye Ligi. Meridianbet ina ofa maalum ya machaguo zaidi ya 7000 yakiwa na nafasi ya kushinda bonasi kubwa kutokana na idadi ya mechi ulizobashiri, hadi 1000%!

Japo bingwa amekwisha kujulikana, lakini bado kwenye Ligi kuna walakini. Wikiendi iliyopita kwenye Car Derby, Borussia Dortmund aliibuka na ushindi kutoka kwa Leipzig na hivyo akajihakikishia nafasi ya pili. Msimu ujao, Leipzig ataendelea kucheza Ligi ya Mabingwa, kwasababu hana wasiwasi kwani yupo kwa tofauti ya alama 3 na Leverkusen ambaye yupo nafasi ya 5 na amemzidi tofauti ya magoli.

Katika hatua nyingine, Leverkusen anatakiwa amfunge Mainz leo, lakini pia aiombee mabaya Monchengladbach ili kuchukua nafasi ya nne itakayomfanya afuzu Ligi ya Mabingwa. Hivyo mechi kati ya Leverkusen na Monchengladbach, ambaye atamkaribisha Hertha, itakuwa ni mechi yakitazama zaidi wikiendi hii.

Meridianbet inatarajia ushindi kwa timu ya nyumbani - Leverkusen odds 1.30, na 1.33 kwa Monchengladbach. Pia unaweza kuunganisha na idadi ya magoli, ambayo itazidisha nafasi yako ya kushinda sana.

Pia kutakuwa na mechi za kuvutia Wolfsburg na Hoffenheim. Timu zote zina pointi sawa  na bado hazina uhakika yupi atacheza hatua ya makundi katika Ligi ya Europa.

Hali bado haiko sawa katika timu za chini kwenye msimamo. Paderborn tayari ameshuka daraja lakini anasubiri kati ya Fortuna au Werder, inategemea na matokeo ya mechi.

Kama una hisia nzuri kabla ya mzunguko wa mwisho wa Bundesliga, tumia nafasi hiyo adimu – kuchukua bonasi ya 5% kwa kila muamala wa 5000 Tsh utakaoweka na uongeze uelewa wako wa mpira wa miguu na pia kwa kujisajili na kuweka ubashiri wako wa kwanza kati ya 1000-12500Tsh na kama ukipoteza Meridianbet itakurudishia bonasi ya 100%!!

19 comments:

 1. Kesho sio mchezo ndani ya Bundesliga

  ReplyDelete
 2. Jamani msimu mpya wa Bundesliga uakuwaje?

  ReplyDelete
 3. Jamvi safii linahusika maana sio kwa michezo ya bundersliga

  ReplyDelete
 4. Mechi zote zimejiandaa vizur sana

  ReplyDelete
 5. Mechi hizi za mwisho ndo mechi za hela
  #meridianbettz

  ReplyDelete
 6. Bundesliga ndo habari ya mjini.

  ReplyDelete
 7. Mambo mazuriii

  ReplyDelete

Post Bottom Ad