BAADA ya kusubiri kwa miezi mitatu kwa wapenzi na mashabiki vindaki ndaki kutoka pande zote Ligi Kuu ya Uingereza inaendelea rasmi leo. Mchezo wa kongwe na wa kufurahisha zaidi unawarudisha wakali halisi mchezoni, na Meridianbet imejali burudani hii na kukuletea odds bora kwa ajili yako. Shindano la Ligi Kuu Uingereza ni la kipekee na lina machaguo zaidi ya 9000 za kwa ajili yako!
Ni kwa Meridianbet pekee, utapata mechi 92 za SOKA BORA UINGEREZA ambazo zitachezwa mwezi ujao na nusu. Na kurejea kwake kunakuwa kwa namna yake ya tofauti wakati Manchester City wakikutana uso kwa uso na Arsenal, na huku Aston Villa akichuana vilivyo na Sheffield United.
Kuanzia City Blues hadi kwa Gunners, tunatarajia kuona soka bora tu kutoka huko. City wakiwa na nafuu ya kuwa wenyeji, na huku wakiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi - wanapigiwa sana upatu kushinda mchezo wa leo. Arsenal kwa upande mwingine, bado wako nyuma - lakini kwa kasi yao ya wastani kwa msimu mzima, watahitaji kufanya kazi ya ziada kutushawishi na si vinginevyo.
Ushindi wa nyumbani kwa Odds ya 1.38 unakupa kiasi kidogo kwa beti moja, vinginevyo usimame kiume kwa upande wa City. Maoni yetu ni uchanganye ushindi wa timu ya Pep Guardiola na Magoli zaidi ya mawili, yaani Over 2.5!
Chaguo la pili ni kwa timu zote kushinda, unatakiwa kufahamu kuwa Arsenal tayari wamewahi kutikisa nyavu za golikipa wa City mara nyingi katika michuano. Odds 1.64 ni nzuri ukizingatia na timu zote zinarejea baada ya mapumzikoya kipindi kirefu na kuwa tayari kucheza-hakuna ambaye atatarajia kucheza mpira wa kujilinda.
Mzunguko wa 30 utapigwa Ijumaa, wakati mechi zingine zitachezwa wikiendi utashuhusia mpambano wa mechi kali. Tottenham wataikaribisha Manchester United uwanjani. Mechi nne zitachezwa Jumamosi (Juni 20) na inaonekana mtanange unaovutia watu wengi utapigwa Jumapili, pale wapinzani wa muda mrefu Everton watakapochuana na vinara wa Ligi Liverpool, tutashuhudia Liverpool akikaribia kuwa bingwa pale Merseyside.
Ni maarufu na kulingana na wengi, ni mashindano yenye upinzani mkubwa Duniani yanarejea dimbani na Meridianbet imeandaa ofa nyingi kwaajili yako kwa tukio hili.
Unachotakiwa ni kufungua akaunti ya Meridianbet.co.tz na upate moja ya bonasi nyingi zilizokuwemo. Ikiwemo 5% kwa kila muamala unaoweka!
Na, kama ujuavyo Meridianbet ni nyumbani kwa bonasi bora Tanzania, kama tiketi yako haijashinda-tunaushindi mwingine unakusubiri wewe!
Habar njema sana
ReplyDeleteGud news
ReplyDeleteGud news
ReplyDeleteLeo tunao hao,Samatha
ReplyDeleteHabari nzuri sana
ReplyDeleteTulisubiri sana kwa wasaka ushindi ni habar njema
ReplyDeleteEpl wamewasha kazi imeanza
ReplyDeleteAsanteee sana meridianbet kwa kutujali mashabiki wenu
ReplyDeleteTulimiss burudani ya epl
ReplyDeleteHabari njema sana #meridianbet
ReplyDeleteHabari njema sana #meridianbet
ReplyDeleteHabari njema kwa wapenzi wa soka
ReplyDeleteInapendeza kwa ssa
ReplyDeletemeridianbet mpo juu options kibao odds za kibabe
ReplyDeleteEpl kazi kazi
ReplyDeleteHabari mzur
ReplyDeleteYaan tulikuwa tunasubili ligi kwa hamu hatimae imerudi
ReplyDeletemaana tulimis sana mechi atimae zimerud tena
ReplyDeleteTulimisi sana
ReplyDeleteGud newz , and more micng
ReplyDeleteSafi sana
ReplyDeleteMda wa kupiga pesa#meridianbet
ReplyDeleteEnter your comment...Hii ni habari njema
ReplyDeleteEPL imeanza na mabalaaa jamani
ReplyDeleteCity amepiga Mpira mwingi sana Jana sema Arsenal Daah dhohofu bin la hali
ReplyDeleteKazi inaanza
ReplyDeleteKazi inaanza sasa.
ReplyDeleteBora tu
ReplyDeleteEPL is back
ReplyDeleteMoto ushawaka EPL uku natengeneza jamvi langu
ReplyDeleteMoto ushawaka EPL uku natengeneza jamvi langu
ReplyDelete