Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed
Shein (kulia) akisalimiana na Balozi Mdogo wa China anaefanyia kazi zake
Zanzibar Bw. Xie Xiaowu wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa
ajili ya kusalimiana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed
Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi Mdogo wa China
anaefanyia kazi zake Zanzibar Bw. Xie Xiaowu wakati alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Balozi Mdogo wa China anaefanyia kazi zake hapa Zanzibar Bw. Xie Xiaowu baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ikulu]
Kwenye kusalimiana kwa kupeana mikono sijaelewa kabisa au hii event ni ya muda kidogo
ReplyDelete