HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 14, 2020

BENKI YA STANDARD CHATERED YAIKOPESHA TANZANIA SH. TRILIONI 3.3 KUJENGA RELI YA KISASA-SGR



Waziri wa Fedha na Mipango,Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chattered (Tanzania) Bw. Sanjay Rughani, wakitia saini makubaliano ya mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46, sawa na shilingi za Tanzania Tril. 3.3, zilizotolewa na Benki hiyo kwa ajili ya ujenzi wa Reli kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR), kipande cha Morogogoro hadi Makutupora, mkoani Singida, hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam 13 Februari, 2020. 


Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa tatu kushoto)), na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chattered (Tanzania) Bw. Sanjay Rughani (wa tatu kulia), wakitia saini Hati za Mkataba wa makubaliano ya mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46, sawa na shilingi za Tanzania Tril. 3.3 ambazo Benki hiyo imetoa kwa ajili ya ujenzi wa Reli kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR), kipande cha Morogogoro hadi Makutupora, mkoani Singida, hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam 13 Februari, 2020. 


Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chattered (Tanzania) Bw. Sanjay Rughani, wakibadilishana Hati za Mkataba wa makubaliano ya mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46, sawa na shilingi za Tanzania Tril. 3.3 ambazo Benki hiyo imetoa kwa ajili ya ujenzi wa Reli kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR), kipande cha Morogogoro hadi Makutupora, mkoani Singida, hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam 13 Februari, 2020.

Waziri wa Fedha na Mipango,  Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chattered (Tanzania) Bw. Sanjay Rughani, wakionesha Hati za Mkataba wa makubaliano ya mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46, sawa na shilingi za Tanzania Tril. 3.3 ambazo Benki hiyo imetoa kwa ajili ya ujenzi wa Reli kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR), kipande cha Morogogoro hadi Makutupora, mkoani Singida, hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam 13 Februari, 2020. 

Waziri wa Fedha na Mipango,Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akizungumza na wageni waalikwa wakati was kutiliana saini makubaliano ya mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46, sawa na shilingi za Tanzania Tril. 3.3, zilizotolewa na Benki hiyo kwa ajili ya ujenzi wa Reli kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR), kipande cha Morogogoro hadi Makutupora, mkoani Singida, hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam 13 Februari, 2020. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chattered (Tanzania) Bw. Sanjay Rughani akitoa taarifa kwa ufupi kuhusu makubaliano ya mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46, sawa na shilingi za Tanzania Tril. 3.3, zilizotolewa na Benki hiyo kwa ajili ya ujenzi wa Reli kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR), kipande cha Morogogoro hadi Makutupora, mkoani Singida, hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam 13 Februari, 2020. 
Balozi wa Denmark Nchini Tanzania, Mette Norgaard Dissing Spandet akizungumza wakati wa kutuliana saini kati ya Tanzania na Benki ya Standard chartered ya mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46, sawa na shilingi za Tanzania Tril. 3.3.
Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe. Anders Sjoberg akizumzia uhusiano uliopo baina ya Swiden na Tanzania wakati wa kutiliana saini makubaliano ya mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46, sawa na shilingi za Tanzania Tril. 3.3, zilizotolewa na Benki hiyo kwa ajili ya ujenzi wa Reli kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR
 Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa tatu kushoto) akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango,Doto James mara baada ya kusaini Hati za Mkataba wa makubaliano ya mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46, sawa na shilingi za Tanzania Tril. 3.3 ambazo Benki hiyo imetoa kwa ajili ya ujenzi wa Reli kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR), kipande cha Morogogoro hadi Makutupora, mkoani Singida
 Baadhi ya Mabalozi na Wadau wengine mbalimbali wa Maendeleo wakishuhudia utiaji saini wa Hati za Mkataba wa makubaliano ya mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46, sawa na shilingi za Tanzania Tril. 3.3 ambazo Benki hiyo imetoa kwa ajili ya ujenzi wa Reli kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR), kipande cha Morogogoro hadi Makutupora, mkoani Singida.
 Sehemu ya Meza kuu ikifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye hafla hiyo fupi
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa tatu kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chattered (Tanzania) Bw. Sanjay Rughani (wa tatu kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali waliohusika na kutoa mkopo huo pamoja na utekelezaji wa Ujenzi wa Mradi wa Reli kwa kiwango cha Kimataifa (SGR), wakiwemo Balozi wa Denmark nchini Tanzania Mhe. Mette Norgaard Dissing-Spandet (wa pili kushoto) na Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Anders Sjoberg (wa nne kushoto) baada ya kusainiwa kwa makubaliano ya mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46, sawa na shilingi za Tanzania Tril. 3.3 ambazo Benki hiyo imetoa kwa ajili ya ujenzi wa Reli hiyo.
Picha ya pamoja
 Meza kuu ikifurahia kwa pamoja huku wakibadilishana mawazo mara baada ya kusaini Hati za Mkataba wa makubaliano ya mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46, sawa na shilingi za Tanzania Tril. 3.3 ambazo Benki hiyo imetoa kwa ajili ya ujenzi wa Reli kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR), kipande cha Morogogoro hadi Makutupora, mkoani Singida
 Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza jambo na Wadau wa Maendeleo mara baada ya kusaini Hati za Mkataba wa makubaliano ya mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46, sawa na shilingi za Tanzania Tril. 3.3 ambazo Benki hiyo imetoa kwa ajili ya ujenzi wa Reli kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR)



SERIKALI kupitia Wizara ya fedha imeweza kupata mkopo wa shilingi trilioni 3.3 kupitia waabia 17 wakishirikiana na benki ya Standard Chartered ili kuwezesha mradi wa reli ya kisasa kukamilika kwa wakati.

Akizungumza katika hafla ya usainishaji wa mikataba ya mkopo huo, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Philip Mpango amesema kuwa kila mara wamekuwa wanaomba mabenki ya hapa nchini kuchangia katika miradi mikubwa ya vipaumbele vya taifa ili kuweza kufikia malengo yetu kama taifa.

“Mradi huu wa kujenga reli ya kisasa ni mradi ambao unakwenda kubadilisha maisha ya wananchi wakitanzania, hivi sasa unavyojengwa unawaajiri watanzania wengi, mradi huu unatumia baadhi ya vifaa ambavyo vinazalishwa hapa nchini hususani saruji, mchanga lakini nguvu kazi ni ya vijana wetu”. Amesema Dkt.Mpango.

Aidha Dkt.Mpango amesema kuwa deni la nchi yetu bado ni himilivu na ni lazima tukope kwasababu reli hii tunawekeza takribani miaka 200 ijayo. Hii reli iliyopo (ya zamani) imekuwepo takribani miaka 100, hii ya kisasa itakaa zaidi ya miaka 200.

“Kuna baadhi ya waabia wetu tena wa siku nyingi tuliwaomba waingie kwenye safari hii ya kuchangia mkopo wala si kama wanatupa bure lakini walinikatalia kwahiyo tunashukuru sana kupitia kwenu serikali ya Denmark na serikali ya Sweden kuwa waabia wazuri na marafiki wa watanzania”. Ameongeza Dkt.Mpango.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani amesema kuwa zoezi la kuwekeana saini ya makubaliano ya mkopo kwaajili ya mradi wa reli ya kisasa ni hatua kubwa hasa katika suala la uchumi pamoja na upande wa uwekezaji.

“Afrika inabaki kuwa kipaumbele kwa biashara yetu na wateja kwa ujumla, tunajivunia kutumia utaalamu wetu kusaidia serikali ya Tanzania na fedha zinazohitajika kwenye mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa wa SGR”. Amesema Sanjay.

Pamoja na hayo Sanjay amesema kuwa upatikanaji wa wawekezaji 17 kusaidia mkopo huo ni juhudi kubwa imefanyika hivyo tutegemee kuwepo kwa maendeleo pamoja na ukuaji wa uchumi.

Nae Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuwa mpaka kuwezesha upatikanaji wa mkopo kwaajili ya mradi huo, kutaongezeka kwa kasi ya ujenzi huo kwani mpaka sasa ujenzi kutoka Dar es Salaam mpaka mkoani Morogoro umefikia asilimia 73, hivyo mkopo huo utawezesha ujenzi wa reli hiyo kutoka mkoani Morogoro hadi Makutupora mkoani Singida.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad