Kaimu Mkurugenzi Idara ya Usimamizi wa Kemikali kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Daniel Ndiyo, akisisitiza jambo kwa A Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani), Kuhusu Mafanikio ya Ofisi hiyo, ikiwemo ununuzi wa vifaa vya TZS Bilioni 6.5 na Ujenzi wa Maabara za kanda, Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Idara ya Habari-MAELEZO, Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Usimamizi wa Kemikali kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Daniel Ndiyo, akisisitiza jambo kwa Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani), Kuhusu Mafanikio ya Ofisi hiyo, ikiwemo ununuzi wa vifaa vya TZS Bilioni 6.5 na Ujenzi wa Maabara za kanda, Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Idara ya Habari-MAELEZO, Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment