HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, 28 November 2019

MAMA LISHE WAKISAKA RIZIKI

Mama Lishe wakiwa katika shughuli zao za kuwaingizia kipato kwa kuuza Chakula kwa ajili ya wateja wao eneo la soko la Samaki la kimataifa Feri kama walivyonaswa na Kamera ya Michuzi Blog wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Wateja wakipa Chakula.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad