HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 2, 2019

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA YA KUSINI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini inayojengwa katika eneo la Mitengo, Mtwara Oktoba 2, 2019. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
 Viongozi na wananchi  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kukagua ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini kwenye eneo la Mitenga, Mtwara, Oktoba 2, 2019. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa (wa tatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme (wa pili kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi (kulia) wakati Waziri Mkuu alipokagua ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini, eneo la Mitengo Mtwara, Oktoba 2, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu (katikati) wakisoma ramani ya ujenzi wa Hospitali  ya Rufaa ya Kanda ya Kusini katika eneo la Mitengo , Mtwara Oktoba 2, 2019. Kushoto ni Meneja wa Mradi, Godwin Maro. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini katika eneo la Mitengo, Mtwara Oktoba 2, 2019. Kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, wa tatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa na wanne kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad