RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA JIMBO LA MTAMA WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA WILAYANI RUANGWA MKOANI LINDI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 15 October 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA JIMBO LA MTAMA WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA WILAYANI RUANGWA MKOANI LINDI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Lindi vijijini katika jimbo la Mtama (hawaonekani pichani) mkoani Lindi wakati akielekea katika Jimbo la Ruangwa.
Wananchi wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi wakishangilia kwa furaha wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika Jimbo la Mtama mkoani Lindi. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad