HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 4 October 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MLOWO MBOZI MKOANI SONGWE

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa mji wa Mlowo Mbozi mkoani Songwe mara baada ya kuwasili wakati akitokea uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya.
 Wananchi wa Ilonga wakishangilia mara baada ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika eneo hilo Mkoani Songwe.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ilonga mkoani Songwe.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua kiwanda cha kukoboa Kahawa cha GDM Limited kilichopo Mlowo Mbozi mkoani Songwe.
 Wananchi wa Ruanda wakishangilia mara baada ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika eneo hilo Mkoani Songwe.  
Wananchi wa Mlowo wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza nao. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad