WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA HALIMASHAURI MALINYI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 16 September 2019

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA HALIMASHAURI MALINYI

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi, wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi, mkoani Morogoro, Septemba 16.2019.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasalimia  na Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Majura Kasika, kwenye jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi, mkoani Morogoro, Septemba 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kukagua na kuweka jiwe la msingi, la jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi, mkoani Morogoro, Septemba 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad