WAZIRI LUGOLA AKAGUA MRADI WA UJENZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA ZIMAMOTO JIJINI DODOMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 16 September 2019

WAZIRI LUGOLA AKAGUA MRADI WA UJENZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA ZIMAMOTO JIJINI DODOMA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akiongozana na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Ramadhani Kailima (kulia), baada ya kukagua Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Zimamoto na Uokoaji jijini Dodoma mwishoni mwa wiki.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza wakati wa ukaguzi wa  Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Zimamoto na Uokoaji jijini Dodoma mwishoni mwa wiki.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo,Ramadhani Kailima na Kulia ni Kamishna Jenerali wa Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akiteta jambo  na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Ramadhani Kailima (kulia), baada ya kukagua Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Zimamoto na Uokoaji jijini Dodoma mwishoni mwa wiki.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na Maofisa wa Zimamoto na Uokoaji (hawapo pichani), wakati wa ziara ya  ukaguzi wa  Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Zimamoto na Uokoaji jijini Dodoma mwishoni mwa wiki.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo,Ramadhani Kailima na Kulia ni Kamishna Jenerali wa Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad