NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATOA NENO KWA MAKAMANDA WA POLISI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, 26 September 2019

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATOA NENO KWA MAKAMANDA WA POLISI

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (aliyesimama) akitoa mada kwenye kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Mikoa na Vikosi, leo Jijini Dar es salaam, kikao ambacho kinalenga kuweka mikakati mbalimbali ya kiutendaji ndani ya Jeshi hilo. Picha na Jeshi la Polisi.
Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini SACP David Misime (kushoto) akitoa  mada kwenye kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Mikoa na Vikosi,leo Jijini Dar es salaam, kikao ambacho kinalenga kuweka mikakati mbalimbali ya kiutendaji ndani ya Jeshi hilo. Picha na Jeshi la Polisi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad