NAIBU WAZIRI MASAUNI, IGP SIRRO WAWASILI SHINYANGA KWA ZIARA YA KIKAZI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 10 July 2019

NAIBU WAZIRI MASAUNI, IGP SIRRO WAWASILI SHINYANGA KWA ZIARA YA KIKAZI

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Terack (katikati), baada ya kuwasili mkoani Shinyanga kwa ziara ya kikazi.kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro.
 Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Terack, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.Masauni amewasili mkoani Shinyanga leo kwa ziara ya kikazi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana  na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Terack  baada ya kuwasili mkoani Shinyanga kwa ziara ya kikazi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad