Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Balozi Augustine Mahiga akisoma hotuba yake kabla ya kufungua kikao kazi cha Maboresho ya Mfumo wa Haki jinai.
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akimkaribisha Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Balozi Augustine Mahiga kufungua Kikao kazi Wakuu wa Taasisi za Haki Jinai kuhusu Maboresho ya Mfumo wa Haki Jinai kinachofanyika katika Hoteli ya St. Gasper jijini Dodoma.
Baadhi ya washiriki wa kikao kazi cha Maboresho ya Mfumo wa Haki Jinai wakimsikiliza mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa kikao hicho.
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Balozi Augustine Mahiga akiwa
katika picha ya pamoja na washiriki wa Kikao Kazi cha Maboresho ya
Mfumo wa Haki Jinai.
No comments:
Post a Comment