Vijana wa Kitanzania waanzisha "Future Team Tanzania" - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 14 June 2019

Vijana wa Kitanzania waanzisha "Future Team Tanzania"

Baadhi ya Vijana wa Kitanzania ambao waliuda umoja wao wa "Future Team Tanzania" walipokuwa mafunzoni nchini Urusi, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Ubalozi wa Urusi baada ya kukutana tena na kuzindua rasmi umoja wao huo kwa hapa nchini, uliofanyika jana juni 13, 2019 katika ukumbi wa Kituo cha Kirusi nchini (Russian Culture Center), jijini Dar es salaam.
 Muazilishi kiongozi wa umoja huo "Future Team Tanzania", Sussane William Mollel akizungumza jambo katika shughuli hiyo, iliyofanyika jana juni 13, 2019 katika ukumbi wa Kituo cha Kirusi nchini (Russian Culture Center), jijini Dar es salaam.
Muwakilishi Msaidizi wa UNDP hapa nchini, Ernest Salla akizungumza wakati alipokuwa akiwafundisha jambo vijana hao.
 Mkurugenzi wa Kituo cha Kirusi nchini (Russian Culture Center), Rifat K Pateev akizungumza jambo.
 Mkuu wa Itifaki wa Ubalozi wa Urusi nchini, Maya Nikolskaya akiwasihi jambo vijana hao wa Kitanzania kwa kuanzisha umoja wao huo.No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad