HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 21, 2019

RAIS DKT.SHEIN AMUAPISHA MKUU WA KVZ ZANZIBAR MAJOR SAID ALI JUMA SHAMUHUNA IKULU LEO.


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanylia leo katika Ukumbi wa Ikulu Zanzibar.21-6-2019.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Kikosi cha Varantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Ukulu Zanzibar, 21-6-2019, kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Idd.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna. baada ya kumaliza kuapa hafla hiyo imefanyika Ikulu leo.


 WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Mkuu Mpya wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyila leo Ikulu Zanzibar.
 MAKAMU wac Pili wa Rais wa Zanziubar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Bara la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe. Said Hassan Said na Viongozi wengine wa Sereikali wakihudhuria hafla ya kuapishwa Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyika leo 21-6-2019 Ikulu Zanzibar.

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama baada ya kumaliza hafla ya kumuapisha Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kumpongea Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibare KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo iliofanyika Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, akimsalimia na kumpongea Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar Major Said Ali Juma Shamuhuna, baada ya kumaliza hafla hiyo leo Ikulu Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad