RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA ASKOFU DKT. JOSEPHAT GWAJIMA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 3 June 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA ASKOFU DKT. JOSEPHAT GWAJIMA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Dkt. Josephat Gwajima mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Dkt. Josephat Gwajima Ikulu jijini Dar es Salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Dkt. Josephat Gwajima aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Naibu Waziri Ofisi wa Waziri Mkuu Kazi, Vijana Ajira Anthony Mavunde wakwanza kutoka kushoto. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad