HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 27, 2019

Balozi Seif amjulia hali Bibi Lela Ngozi

 Bwana Ramadhan Ali Foum (Rama Kimara) akimkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Hospitali ya Kijitonyama kumkagua Mkewe Bibi Lela Ngozi Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa aliyelazwa kupatiwa huduma za Afya.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimjulia hali Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Bibi Lela Ngozi aliyelazwa Hospitali ya Kijitonyama Dar es salaam akipatiwa huduma za Afya.
 Daktari dhamana wa Hospitali ya Kijitonyama Dkt. Nyamsogoro akimuelezea Balozi Seif maendeleo ya Afya ya Mgonjwa wao Bibi Lela Ngozi wanayempatia huduma za Matibabu Hospitalini hapo.
 Bibi Lela Ngozi akielezea faraja anayoipata kutokana na huduma za matibabu yake wakati akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi. Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad