Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kushoto) akimkabidhi Kompyuta mpakato (laptop) mwanafunzi wa mwaka wa Tatu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ( UDSM) Kelvin Boya baada ya kuibuka mshindi wa shindano la ubunifu wa Suluhisho la Teknohama ya kufikisha elimu vijijini (Hackathon) lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation kupitia mradi wa “Instant Schools” lililofanyika wakati wa maadhimisho ya wiki ya Ubunifu ( Innovation week ) jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kushoto) akimkabidhi Komputa mpakato (laptop) John Alfred ambaye ni mwanamfunzi wa mwaka wa Tatu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ( UDSM) baada ya kuibuka mshindi wa shindano la ubunifu wa Suluhisho la Teknohama ya kufikisha elimu vijijini (Hackathon) lililothaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation kupitia mradi wa “Instant Schools” lililofanyika wakati wa maadhimisho ya wiki ya Ubunifu ( Innovation week ) jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kushoto) akimkabidhi Komputa mpakato (laptop) Essa Mohamedali mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM) baada ya kuibuka mshindi wa shindano la ubunifu wa Suluhisho la Teknohama ya kufikisha elimu vijijini (Hackthon) lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation kupitia mradi wa “Instant Schools” lililofanyika wakati wa maadhimisho ya wiki ya Ubunifu ( Innovation week ) jijini Dar es Salaam.
Washindi wa shindano la ubunifu wa Suluhisho la Teknohama ya kufikisha elimu vijijini (Hackathon) lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation kupitia mradi wa “Instant Schools” lililofanyika wakati wa maadhimisho ya wiki ya Ubunifu ( Innovation week ) jijini Dar es Salaam, Essa Mohamedali (kulia) John Alfred na Kelvin Boya wote wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) wakimsikiliza mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kushoto) wakati walipotembelea ofisi za kampuni hiyo ambapo walikabidhiwa zawadi zao za Komputa mpakato (laptop ) kila mmoja.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kelvin Boya, John Alfred na Essa Mohamedali ambao ni Washindi wa shindano la ubunifu wa Suluhisho la Teknohama ya kufikisha elimu vijijini (Hackathon) lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation kupitia mradi wa “Instant Schools” lililofanyika wakati wa maadhimisho ya wiki ya Ubunifu ( Innovation week ) jijini Dar es Salaam, wakifurahia Komputa zao mara baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kushoto) wakati wa hafla iliyofanyika katika makao makuu ya Kampuni hiyo.
No comments:
Post a Comment