
Sehemu ya Majaji wa mashindano ya Quraan ya Afrika yaliyofanyuka leo kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam.
Sehemu ya waumini wa dini ya Kiislamu wajiotokeza kushuhudia mashindano ya Afrika ya kusoma Quraan yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam.
Mshiriki pekee wa kike katika mashindano ya kusoma na kuhifadhi Quraan Barani Afrika, Summayyah Juma akisindikizwa na vijana wa Skauti mara baada ya kumaliza kusoma na kuibuka mshindi wa 5.
Baadhi wa waumini na waalikwa wakiwa uwanjani kushuhudia mashindano hayo.
No comments:
Post a Comment