Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Netball Nahodha wa timu ya Ofisi ya
Rais Ikulu Sophia Komba wakati wa Sherehe za Siku ya Wafanyakazi
Duniani (Mei Mosi) katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya Leo Jumatano
Mei 1, 2019. Timu hiyo imetwaa kombe hilo kwa mara ya tatu mfululizo
PICHA NA IKULU
Wednesday, May 1, 2019

IKULU MABINGWA WA NETBALL KOMBE LA MEI MOSI KWA MARA YA TATU MFULULIZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment