HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 4, 2019

WAZIRI MKUU AWASILISHA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA OFISI YAKE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma Makadirio  ya Mapato na Matumizi  ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma Makadirio  ya Mapato na Matumizi  ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2019. Wengine pichani kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Angela Kairuki na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad