Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishangilia bao la tatu la Taifa Stars katika mechi ya kufuzu kuingia katika michuano ya mataifa ya Afrika iliyochezwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Machi 24, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezana na Rais wa TFF,
Wallace Karia baada ya mwamuzi kupuliza kipenga cha kumaliza mechi
kati Taifa Stars na Timu ya Taifa ya Uganda kwenye uwanja wa taifa
jijini Dar es salam, Machi 24, 2019. Taifa Stars ilishinda 3-0.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment