
Wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Zantel wakishangilia ushindi wa Taifa Stars dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda The Cranes ambapo ilifungwa magoli 3-0 jijini Dar es Salaam na kufanikiwa Taifa Stars kusonga mbele katika fainali za mashindano ya AFCON yatakayofanyika nchini Misri.
No comments:
Post a Comment