HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 27, 2019

SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEA OFISI YA CCM MKOA WA KASKAZINI UNGUJA MJINI ZANZIBAR

 Spika wa Bunge, Mlezi wa CCM Mkoa wa Kusini na Kaskazini Unguja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mhe. Job Ndugai (kulia)akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Chaani, Ndg. Nadir Abdulatif wakati alipowasili na kuzungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja na Wajumbe wa Baraza Kuu ya Jumuiya za Chama Mkoa na Wilaya zake katika kikao kilichofanyika tarehe 26 Machi, 2019 katika Ofisi za CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Mjini Zanzibar.
 Spika wa Bunge, Mlezi wa CCM Mkoa wa Kusini na Kaskazini Unguja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Job Ndugai akicheza Ngoma za Utamaduni wa Watu wa Mkoa wa Unguja wakati akikagua Ngoma hizo katika Ofisi ya CCM Mkoa wa kaskazini Unguja tukio lililotokea tarehe 26 Machi, 2019 katika Ofisi za CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Mjini Zanzibar.
 Spika wa Bunge, Mlezi wa CCM Mkoa wa Kusini na Kaskazini Unguja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Job Ndugai akiweka jiwe la msingi Tawi la CCM Muembe Majogoo kabla ya kuzungumza na viongozi wa Matawi, Wadi na Jimbo leo tarehe 26 Machi, 2019 katika Ofisi za CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Mjini Zanzibar.
 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kaskazini na Kusini Unguja, Wajumbe wa Baraza Kuu ya Jumuiya za Chama Mkoa na Wilaya zake wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mlezi wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Job Ndugai (hayupo kwenye picha) katika kikao kilichofanyika tarehe 26 Machi, 2019 katika Ofisi za CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Mjini Zanzibar.
 Spika wa Bunge, Mlezi wa CCM Mkoa wa Kusini na Kaskazini Unguja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Job Ndugai akizungumza na Viongozi wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja na Wajumbe wa Baraza Kuu ya Jumuiya za Chama Mkoa na Wilaya zake alipowatembelea tarehe 26 Machi, 2019 katika Ofisi za CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Mjini Zanzibar.
 Spika wa Bunge, Mlezi wa CCM Mkoa wa Kusini na Kaskazini Unguja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Job Ndugai (kulia)akimsikiliza Mwakilishi wa Jimbo la Chaani, Ndg. Nadir Abdulatif akielezea changamoto mbali mbali ambazo wanakumbana nazo Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja na Wajumbe wa Baraza Kuu ya Jumuiya za Chama Mkoa na Wilaya zake katika kikao kilichofanyika tarehe 26 Machi, 2019 katika Ofisi za CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Mjini Zanzibar.
Spika wa Bunge, Mlezi wa CCM Mkoa wa Kusini na Kaskazini Unguja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Job Ndugai (kulia) akigawa kadi kwa mwanachama mpya wa Umoja wa Vijana CCM wakati wa zoezi la kugawa kadi kwa wanachama wapya wa CCM tukio lililofanyika tarehe 26 Machi, 2019  Jimbo la Kiwengwa Muembe Majogoo Mkoa wa Kaskazini Unguja Mjini Zanzibar.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad